Sulwe (Swahili)

Out of stock
by
SKU
9789966822031
Quick Overview

Sulwe ni mweusi tititi. Ni mweusi kuliko kila mtu katika familia yake...

KES1,250.00

Lupita Nyongo, mwigizaji na mshindi wa tuzo ya Academy, ametuandikia kitabu cha picha chenye mvuto na ushawishi mkubwa kuhusu rangi, kujithamini, na kujifundisha ya kwamba urembo wa kweli unatoka ndani mwa mtu.

Sulwe ni mweusi tititi. Ni mweusi kuliko kila mtu katika familia yake. Ni mweusi kuliko kila mtu shuleni. Sulwe anataka tu kuwa mrembo na mwerevu, kama mamake na dadake. Ghafla, safari ya kipekee katika anga ya usiku inamfumbua macho na kila kitu kinabadilika. Katika kitabu hiki chenye michoro ya Vashti Harrison, mwigizaji Lupita Nyong’o amefinyanga hadithi ya kusisimua na kuwahamaisha watoto ili wafurahie urembo wao wa kipekee.

More Information
Author Lupita Nyong'o
0
Rating:
% of 100
Write Your Own Review
Only registered users can write reviews. Please Sign in or create an account